Friday, 17 October 2014

KARIBU SANA KWENYE HII BLOGU

6 comments:

  1. Tumetoa dawa ya kutibu maradhi sugu kama vidonda vya tumbo dawa ni asilia wasiliana nasi kwa 0715913307 au barua pepe nurkhan353@gmail.com

    ReplyDelete
  2. UTABIRI WA NYOTA
    Jina linalo anzia na herufi A M Y nyota Yako ni madini ya Chuma kwaiyo tembea na Pete ya chuma

    Nyota hii ina mambo mazuri kiuchumi hata katika mapenzi we we huwa mwenye hamaki fitina yako hutokana na wanaume au wanawake pia utumiaji fedha mbaya kiasi ambacho hata fedha haitulii au hazikai Bahati yako niyakiuchumi na mapenzi yako ni makali sana mwenye kupendwa MTU akiingia kwenye anasa yako ya mapenzi Vila kukuona basi MTU huyo hana raha pia wewe ni MTU mwenye ghazabu pia katika matumizi ya pesa hutumia bila mpangilio huyeyuka kama moto pia ushirikiano wa ndugu na jamaa huwa mdogo kwa ajili ya uwazi wako upande wa mizimu ni mabisa pia unaashiria kuwa unajini maka

    Sayari hii iko mbingu ya 4 Nyota yake ni SIMBA umbo lake na mizunguko take sayari hii ni ya vumbi vumbi au rangi ya manjano na hupitia sayari zote katika siku 30 na hupitia sayari zingine muda was siku 366

    SAYARI HII INAHUSIKA NA
    Kiburi Nguvu Ufahari Kuona haya Siasa Udereva Ufundi Mambo ya moto Kuwa juu ya kitu Kupata kitu ukitakacho kwa MTU

    Kwa maswali na ushauli usisite kutuandikia ujumbe mfupi 0715913307 Nurkhan353@gmail.com

    ReplyDelete
  3. UTABIRI WA NYOTA SEHEMU YA 2
    Majina yanayo anzia na herufi H I nyota yako ni madini ya chuma vaa Pete au mkufu wa madini ya chumu

    Nyota ni ni ZUHURA nyota yako inaashiria wewe ni mwenye kupendwa sana hata katika ndoa hata kimapenzi pia uchumi wako hupata kwa shida ukipata kitu hukiwekea uchoyo nyota hii inakuhitaji uwe mwema pia inakuhitaji uwe mwenye kusali pia nyota hii inakuhitaji ufatilie sana dini ipasavyo nyota kiutafutaji huwa ngumu sana hufikia wakati unakata tamaa hufanikiwa vilevile unapo pata kitu watu hukuonea kijicho na kuanza kukupiga vita Nyota hii inaashiria ukatili wako wa hamaki sana vitendo vyako ni vya kikatili sana ni mtu wa kuandamwa na matatizo sehemu ukaapo ni mtu mwenye tamaa ya mapenzi lakini mapenzi yako hayadumu ukitaka kumaliza matatizo yako shiriki miti shamba mara kwa mara bahati yako ipo mwisho ukatapo tamaa ndipo ufanikiwapo mrejee mola wako

    SAYARI hii IPO mbingu ya 3 Nyota take ni MIZANI na NG'OMBE
    Sayari hii ni nyeupe na yenye kung'aa inatembelea kila nyota siku 27 na inakaa katika kila sayari miezi 10

    SAYARI HII INAHUSIKA NA
    Muafaka. Urafiki. Uzuri wa moyo. Mapenzi. Masikilizano. Mapatano. Maelewano

    Kwa maoni na ushauri ussite kutuandikia kupitia 0715913307 Nurkhan353@gmail.com

    ReplyDelete
  4. UTABIRI WA NYOTA SEHEMU YA TATU
    Majina yanayo anzia na herufi B N Z G S nyota yako ni madini ya shaba vaa Pete ya shaba

    Nyota yako ni ATWARD nyota hii inaashiria matambiko jadi Midimi au Luviambo matumizi mabaya ya fedha kushindwa kuelewa pesa zinatokaje pia wewe ni mtu mwenye tamaa sana ya mapenzi pia ni mtu mwenye kujipenda sana pia nimtu mwenye ndoto za kutisha mara kwa mara pia wakati mwingine unavyo ota hutokea hivyo hivyo pia mifarakano ndani ya nyumba ni mara kwa mara ukitaka matatizo yako yaishe chimbua mashetani yako kipaji chako ni kusaidia watu pia usisahau kutengeneza mizimu yako

    Sayari hii ipo mbingu ya pili Nyota yake ni mapacha na mashuke Sayar hii ni yakijani kibichi na wakati mwingine hugeuka wekundu na inakaa kila nyota siku 28 na inakaa katika sayari kwa miezi sita 6

    SAYARI HII INAHUSIKA NA
    Adabu Heshima Kuheshimiwa Elimu Mapatano Kukwamishwa maendeleo Cheo kua mkubwa Kuosha mkosi Vita Kupigana

    MARADHI
    Mahaba subiani matatizo ya kulogwa kugombea mke au mme upepo wa majini asili ya kwao pia kupandisha jini upepo wa majin na upepo wa asili vitu vya zamani pande zote pamoja na subiani hivyo vyote ni vyakumuharibia mengi

    Kwa maelezo zaidi 0715913307au 0677275292 au Nurkhan353@gmail.com

    ReplyDelete
  5. UTABIR WA NYOTA SEHEMU YA NNE

    MAJINA YANAYO ANZIA NA KHERUFI

    C O R
    Nyota yao ni mapacha au ya màshuke sayari yake ni mequry vaa kitu cha kuosha na petrol

    Nyota inaashiria wewe ni MTU wa kukaa kwa mashaka mashaka makubwa kuibiwa na kupoteza vitu matumizi magumu kumwaga pesa kwa starehe na anasa za kima penzi inaonyesha ni MTU asie tulia Mahali pamojà pia wewe ni MTU mwenye fitina na mwenye kufitiniwa pia wewe unamatatizo yako kwa idhini ya mungu utapona

    ReplyDelete